Serikali yaombwa kuhamasisha teknolojia ya kidigiti
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Serikali imeombwa kushirikiana na taasisi zisizo za kiserikali kuhamasisha elimu ya teknolojia ya kidigiti kuanzia ngazi ya chini. Ombi hilo limetolewa na baadhi ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wakati wa Kongamano la Wiki ya Ubunifu liloandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalojishughulikia Masuala ya…