TAPSEA JIENDELEZENI KITAALUMA KUENDANA NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA- DKT. BITEKO
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa makatibu mahsusi nchini kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia sambamba na kuboresha utendajikazi wao. Ameyasema hayo leo Mei 23, 2024 Jijini Mwanza wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano…