Miaka 63 ya Uhuru bila katiba ya wananchi
WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na wanaharakati hivi karibuni wamekuwa wakifanya maandamano wakishinikiza kupatikana Katiba Mpya iliyotokana na wananchi wenyewe. Anaandika Elvan Stambuli… (endelea). Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawataki na wameendeleza ubabe kwani kuanzia ya Uhuru Katiba ya mwaka 1961 (Tanganyika) hadi ya mwaka 1977, zimetokana na ubabe wa watawala na chama…