JIUNGE NA JKT UKIOMBWA FEDHA TOA TAARIFA KWA MAMLAKA HUSIKA-MEJA JENERALI MABELE
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele,akizungumza na waandishi wa habari katika Kikosi cha Jeshi 822 KJ Rwamkoma wilayani Butiama Mkoani Mara. Mkuu wa Tawi la Mafunzo na Operesheni JKT Kanali Aisha Matanza,akizungumza na waandishi wa habari katika Kikosi cha Jeshi 822 KJ Rwamkoma wilayani Butiama Mkoani Mara. Kamanda wa Kikosi…