Dabo anafanikiwa hapa Azam FC
AZAM FC imejipata kiukweli dakika hizi za lala salama za ligi kuu na ingawa imeshindwa kutwaa ubingwa, ipo katika uwezekano mkubwa wa kumaliza katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 63 sawa na Simba ambayo nayo ina idadi hiyo ya pointi. Hata hivyo, Azam iko nafasi ya pili kwa vile ina…