Taarifa kwa vyombo vya habari
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuanzia Desemba 2023 hadi tarehe 22 Mei 2024 limekuwa na Operesheni kali maalum ikihusisha kamisheni mbalimbali za Polisi ikiwemo ile ya kisayansi na kuwezesha kupatikana kwa magari 12 ya wizi ambayo tayari yamekwisha tambuliwa na wamiliki baada ya uchunguzi pia bajaji 5 zimepatikana. Katika operation hii…