RC Lindi azuia kivuko kutumika, atoa wiki mbili kitengenezwe
Lindi. Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack ametoa wiki mbili kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa) kuhakikisha unamaliza tatizo la kivuko cha Mv Kitunda ili wananchi waendelee na shughuli zao kwa uhakika zaidi. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Mei 23, 2024, Telack ameelekeza kivuko hicho kiache kuvusha watu kutokana na hitilafu…