Jubilee Insurance yawakumbuka watoto wenye utapiamlo
Dar es Salaam. Katika kurudisha kwa jamii Kampuni ya Bima ya Jubilee Allianz General imetoa msaada wa vifaatiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala iliyopo Kinondoni Dar es Salaam. Vifaa vilivyotolewa ambavyo vimeelekezwa moja kwa moja kuwahudumia watoto wenye ugonjwa wa utapiamlo ni pamoja mfuko wa sukari, viti 15, maziwa maboksi matatu, sinki pamoja…