Mamia waandamana kwenye ofisi ya Netanyahu kushinikiza kuachiliwa kwa mateka
Waisraeli walikusanyika karibu na ofisi ya Netanyahu, kutafuta mpango wa kuachiliwa ndugu na jamaa waliotekwa nyara. Mamia ya Waisraeli wameandamana mbele ya ofisi ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu wakati wa mkutano wa baraza la vita wakitaka mateka wa Gaza waachiliwe huru. Maandamano pia yalizuka katika miji kadhaa ya Israel baada ya video kuchapishwa ikiwaonyesha wapiganaji…