Watu wapatao 85 wauwawa mjini El-Fasher Sudan – DW – 22.05.2024
Mkuu wa programu ya dharura yashirika la Madaktari wasio na mipakanchini Sudan, Claire Nicolet, amesema siku ya Jumatatu pekee waathiriwa tisa kati ya 60 waliopokelewa katika hospitali hiyo kwa jina Southern Hospital, kwa ajili ya matibabu, walikuwa wamekufa kutokana na majeraha waliyokuwa wameyapata. Claire ameongeza kusema katika kipindi cha tangu mapigano yalipozuka katika mji mkuu…