Tanzania yafungua milango ya ushirikiano na Indonesia katika Sekta ya Maji
Waziri wa Maji Tanzania, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ambaye yuko nchini Indonesia kumwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani, amefunguamilango ya ushirikiano kati ya Sekta ya Maji Tanzania na Sekta ya Maji Indonesia. Wakizungumza katika mkutano wa upili, Waziri Aweso na Mhe. Hadimuljono,…