Mradi wa Bil.22 wamuibua Katibu Mkuu,atoa maelekezo
Na Mwandishi Wetu,DODOMA Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu amemtaka mkandarasi wa Mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya wizara hiyo unaoendelea katika Mji wa Serikali Mtumba kuwasilisha mpango kazi wa mradi huo baada ya kuwepo kwa ucheleweshaji wa umalizaji wa mradi huo ambapo hapo awali ulipaswa kumalizika oktoba…