IDADI YA WANAOSAJILI MAJINA, NEMBO NA BUNIFU ZAO YAONGEZEKA
Na Gideon Gregory , Dodoma. Ofisa Habari Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Theresia Chilambo amesema kwasasa muitikio wa watu kusajili bidhaa zao umeongezeka tofauti na kipindi cha nyuma kwani imefikia hatua ambayo watu wanasajili majina yao pamoja na alama wanazozibuni ili kuepuka wizi wa bunifu za watu ambao umekuwa ukijitokeza….