Majaliwa: Vyombo vya habari kemeeni kauli za ubaguzi
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amevitaka vyombo vya habari vya mitandao ya kijamii kukemea kauli ya aina yoyote ya ubaguzi inayolenga kulipasua Taifa. Amesema Tanzania imejipambanua kwa kulinda tunu za umoja, amani na mshikamano, hivyo mitandao ya kijamii ina nafasi kubwa ya kuhakikisha inaunga mkono jitihada za kuzilinda. Majaliwa ameeleza hayo leo Jumanne…