Polisi waongeza siku tano kwa waombaji wa ajira
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuongeza muda wa siku tano, kwa vijana wenye sifa ya kuomba ajira kwenye jeshi hilo.Katika tangazo lilitolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania leo Mei 21,2024 limeeleza kuwa kutokana na changamoto ya mtandao iliyoendelea kujitokeza, hivyo kwa vijana wenye sifa na nia ya kujiunga na jeshi…