Baerbock azuru kwa mara nyingine Ukraine – DW – 21.05.2024
Baerbock ameonyesha mashaka hayo wakati wa ziara yake ambayo haikutangzwa nchini Ukraine. Katika ziara hiyo, Baerbock, pamoja na mambo mengine ameyatolea wito mataifa ya magharibi kuipatia Ukraine mifumo zaidi ya kujilinda angani. Ziara yake inafanyika baada ya Urusi kuvurumishia droni Ukraine usiku mzima wa kuamkia Jumanne, katika mashambulizi yaliyowajeruhi baadhi ya wakaazi katika mkoa wa…