Msitumie Dawa Kiholela – Waziri Ummy
Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuacha matumizi ya dawa za antibiotik kiholela jambo ambalo linapeleka usugu wa vimelea vya magonjwa. Waziri ummy ameyasema hayo katika mafunzo ya kuwajengea uwezo viongozi wa jamii kuhusu kuimarisha huduma za afya ngazi ya msingi kwa ushirikiano wa taasisi ya…