Waliowekewa damu yenye VVU, homa ya ini kulipwa fidia trilioni 32.9
Waziri mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak ameahidi kulipa fidia ya paundi bilioni 10 sawa na Sh 32.9 trilioni kwa watu waliowekewa damu yenye maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na homa ya ini. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kashfa hiyo imelikumba taifa hilo baada ya uchunguzi wa umma kubainisha kuwa mamlaka ya nchi hiyo…