Israel, Hamas zapinga waranti wa kukamatwa viongozi wao – DW – 21.05.2024
Israel imeshutumu na kuitaja kama fedheha ya kihistoria, ombi linalomlenga waziri mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wake wa ulinzi Yoav Gallant, huku kundi la Hamas likisema linalaani vikali hatua hiyo. Netanyahu amesema anapinga na kuchukizwa na hatua ya mwendesha mashtaka wa ICC kulinganisha kile alichokiita “Israel ya kidemokrasia na wauaji wa kundi la Hamas.” Khan…