Maswali manne ishu ya Phiri kutua Yanga
WAKATI Yanga ikisubiri kujua hatIma ya sakata la kimkataba la mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube Inayempigia hesabu za kumchukua mwisho wa msimu huu, mabosi wa Jangwani wamerudi kwa mshambuliaji, Moses Phiri kama mbadala wa Mzimbabwe huyo. Yanga inamtaka Dube ambaye anaendelea kupambana na klabu yake akitaka kuachana nayo, lakini mabingwa hao wa Ligi Kuu…