Mtibwa Sugar mambo bado magumu
Timu ya Mtibwa Sugar leo imetoka ssuluhu na Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye uwanja wa Manungu Complex, Turiani, Morogoro jambo linalozidisha presha kuhakilisha inasalia kwenye ligi msimu ujao baada ya kuwa kwenye nafasi ya mwisho katika msimamo. Mtibwa Sugar baada ya mchezo huo uliochezwa kuanzia saa 8:00 mchana imefikisha alama 21…