Wafanyabiashara kurejeshewa asilimia tatu ya VAT wakiwa na nyaraka kamili
Unguja. Ili kupata unafuu wa wa kodi kwa wafanyabiashara wanaosafirisha bidhaa zao kutoka Zanzibar kwenda Tanzania bara au kinyume chake, wanatakiwa kuwa na nyaraka muhimu za bidhaa hizo. Ili mfanyabiashara aweze kunufaika na nafuu ya kutolipa kodi mara mbili, ni lazima afuate taratibu za kuondosha mizigo Zanzibar na kupeleka Tanzania Bara kwa kuwa na nyaraka…