Ufunguzi wa kongamano la siku(2) la kitaifa la mtandao wa wanawake katiba uongozi na uchaguzi
Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP katika mchakato kuhimiza usawa wa kijinsia Tanzania imekutana na wanawake pamoja na wanamtandao katika kongamano la kitaifa la mtandao wa wanawake katiba uongozi na uchaguzi Kujadili masuala mbalimbali wakati ambapo hivi sasa nchi yetu inaelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo hali ya ushiriki wa wanawake katika nafasi za…