WAKUU WA TAASISI ZA HAKI JINAI WAKUTANA NA TUME YA HAKI JINAI NCHINI, JIJINI DODOMA
TUME ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Othman Chande mapema leo Mei 20, 2024 jijini Dodoma, imekutana kwa mazungumzo na Wakuu wa Taasisi za Haki Jinai akiwemo Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, CGP Mzee Ramadhani Nyamka. Wakuu wa Taasisi za…