Simulizi meli ya Mv Clarias ilivyopinduka Mwanza, uchunguzi waanza
Mwanza. “Kilisikika kishindo cha kamba zinazoishikilia meli zikikatika.” Ni kauli ya Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Abdulrahman Salim akisimulia tukio la meli ya Mn Clarias iliyopinduka ikiwa kwenye gati la bandari ya Mwanza Kaskazini jijini humo. Meli hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 290 na tani 10 za mizigo, ilijengwa mwaka…