Tegete aipa tano Yanga | Mwanaspoti
UBORA wa kikosi cha Yanga kwenye misimu mitatu mfululizo, kimemwibua aliyekuwa straika wa timu hiyo, Jerson Tegete na kuwapa tano mabosi kwa kusajili watu wa kazi. Tegete aliyekuwa mmoja wa nyota wakongwe walioisaidia Pamba ya Mwanza kupanda Ligi Kuu msimu ujao, alisema Yanga ina kikosi kipana na wachezaji wenye uwezo mkubwa, anayeingia na kutoka viwango…