Kamati ya Bunge yaridhishwa na kasi ya ujenzi kituo cha kupoza umeme Chalinze
Na Esther Mnyika, Pwani Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha Chalinze ambao umefikia asilimia 93.7 huku njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere kuja Chalinze ikifikia asilimia 99.5. Akizungumza Mei 18,2024 baada ya kukagua mradi huo unaosafirisha umeme…