Azam yatangulia kibabe fainali FA, yazisubiri Yanga, Ihefu
AZAM FC imetangulia kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuichapa Coastal Union mabao 3-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa ikimsubiri mshindi wa nusu fainali ya pili itakayochezwa kesho Jumapili kati ya Ihefu dhidi ya Yanga. Mabao yaliyoipeleka Azam FC fainali yalifungwa na…