Waasi wa RSF kufungua njia salama katika mji wa al-Fashir – DW – 18.05.2024
Kikosi hicho cha RSF, kinachoongozwa na Jenerali Mohamed Hamdan Daglo kinapambana na jeshi la serikali linalomuunga mkono kiongozi wa kijeshi wa Sudan Jenerali Abdel Fattah al-Burhan. Soma Pia:UN yaonya uwezekano wa janga la kibinadamu al Fashir RSF imethibitisha katika chapisho lake kwenye mtandao wa X kwamba vikosi vyake viko tayari kuwasaidia raia kwa kufungua njia…