MAKAMU WA RAIS AFUNGUA WARSHA YA MAWAZIRI KUHUSU UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO YA HAKI JINAI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakati akifungua Warsha ya Viongozi hao kuhusu utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai iliyofanyika Ukumbi wa Kambarage mkoani Dodoma tarehe 18 Mei 2024. …………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya…