RC Chongolo atangaza ‘vita’ kwa wanaovusha wageni kinyemela
KATIKA kulinda usalama wa nchi kupitia mpaka wa Songwe, Mkuu wa mkoa huo, Daniel Chongolo ametangaza ‘vita’ kwa wananchi watakaojihusisha na shughuli za uvushaji na usafirishaji haramu wa binadamu. Anaripoti Ibrahim Yassin, Songwe… (endelea). Chongolo aliyasema hayo jana Ijumaa wakati akizungumza na wananchi kupitia mikutano alipokuwa akihitimisha ziara yake ya kikazi wilayani Momba. Amesema zipo…