Makamba awasili China kwa ziara ya kikazi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba leo tarehe 16 Mei 2024 amewasili nchini China kuanza ziara ya kikazi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Ziara hii mbali na kudumisha ushirikiano wa kidiplomasia wa kihistoria uliopo baina ya mataifa haya mawili ni muendelezo wa utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi ikilenga kufuatilia…