Taifa Gas waanika mikakati kupunguza gharama za gesi ya kupikia
KATIKA kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Taifa Gas imefungua maduka 250 nchini ya usambazaji wa gesi hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia imezindua mtungi wa kilo sita ili kurahisisha upatikanaji wa nishati hiyo kwa Watanzania wenye kipato cha chini. Hayo yamebainishwa leo…