Askari wa Kike wajengewa uwezo wa kiutendaji
Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwanadamizi wa Polisi (SACP) Pili Mande pamoja na timu yake aliyoambatana nayo Mei 17, 2024 amekutana na kuzungumza na askari wa kike ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya kuwajengea uelewa askari hao wa Mkoa wa Kilimanjaro. SACP Mande, tayari amepita Mikoa mbalimbali nchini na kukutana…