Ntibazonkiza anatamba tu Burundi | Mwanaspoti
Kiungo wa Simba, Saido Ntibazonkiza ameendelea kuwa lulu katika kikosi cha timu ya taifa ya Burundi baada ya kujumuishwa katika kundi la wachezaji 21 watakaotumika kwa mechi mbili za kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Kenya na Shelisheli mwezi ujao. Ntibazonkiza ni miongoni mwa nyota wawili pekee kutoka Tanzania waliojumuishwa kwenye kikosi hicho cha…