Mzee wa miaka 62 aliyezikwa akiwa hai kwa siku nne aokolewa na polisi
Katika tukio la kushangaza huko Moldova, polisi walimuokoa mwanamume mmoja ambaye alikuwa amezikwa akiwa hai kwa siku nne. Maafisa walikuwa wakichunguza kifo cha mwanamke mwingine mwenye umri wa miaka 74, aliyepatikana nyumbani kwake na ndipo waliposikia vilio vya kuomba msaada karibu na walipochimba, waligundua mlango wa chumba cha chini cha ardhi ambapo mzee wa miaka…