Kinzumbi Yanga, Musonda Mazembe dili lipo hivi!
MABOSI wa TP Mazembe wakiongozwa na CEO, Frederic Kitengie wiki hii wametua Makao Makuu ya Yanga yaliyopo Jangwani jijini Dar es Salaam kwa masuala mawili makubwa, kwanza kubadilishana uzoefu na lingine kujenga urafiki. Kuna dili linakwenda kufanyika mwishoni mwa msimu huu. Taarifa ilizozipata Mwanaspoti ni kwamba, Yanga na TP Mazembe wameanza kujadili namna ya kubadilishana…