Simba kumfanyia umafia Inonga mchongo mzima upo hivi, asepa bila kuaga
KATI ya sapraizi ambazo mashabiki wa Simba wanaweza kukumbana nazo wiki chache zijazo ni kung’oka kwa wakongwe wa kikosi hicho akiwemo Shomari Kapombe ambaye piga ua amekuwa hakosekani kwenye kikosi cha kwanza. Kapombe ambaye ameitumikia Simba kwa nyakati tofauti akianza 2011 hadi 2013 kisha akarudi tena Julai 2017 mpaka sasa, anaondolewa kutokana na kile kilichoelezwa…