TANZANIA IMEPIGA HATUA KWENYE MAWASILIANO – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopiga hatua kubwa kwenye sekta ya mawasiliano na teknolojia ya habari. Amesema kuwa mipango na mikakati iliyowekwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano inakua, imeonesha kuleta matokeo chanya katika maendeleo ya Taifa. “Ninatoa pongezi kwa…