Hatifungani ya kijani ya Tanga uwasa yasajiliwa rasmi DSE
Hatifungani ya Kijani ya Miundombinu ya Maji Tanga inayosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (Tanga UWASA) imesajiliwa rasmi katika Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE) katika hafla maalumu iliyofanyika Jijini Dodoma katika ofisi za Hazina baada ya mauzo ya Hatifungani hiyo kufanya vizuri kwa 103% zaidi ya lengo. Akizungumza…