SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma. Serikali imesema kuwa taratibu za kikodi zimebainisha kwamba, mfanyabiashara yeyote mwenye mauzo ghafi yenye kiasi cha shilingi milioni kumi na moja (TZS 11,000,000) na kuendelea kwa mwaka, anapaswa kutumia mashine za kutoa risiti za kielekroniki (EFD) kwa walipakodi wote wanaofanya biashara mara nyingi au mara moja kwa mwaka. Hayo yameelezwa…