Misri yafanya jaribio la kwanza la teksi zinazotumia umeme
Misri imefanya jaribio la kwanza la matumizi ya teksi zinazotumia umeme katika Mji Mpya wa Utawala wa nchi hiyo, kwa lengo la kutoa chaguo la uafiri wa kisasa na rafiki wa mazingira. Awamu hiyo ya kwanza imehusisha teksi 10 zinazotumia umeme zilizopelekwa katika Mji huo mpya, ambao kwa sasa ni makazi ya wizara nyingi na…