VIDEO: Waitara aliamsha bungeni, adai TRA Sirari wanatembeza vipigo
Dodoma. Mbunge wa Tarime Vijijini (Mara), Mwita Waitara amedai gari la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) limemsukuma mtaroni kijana ambaye amefariki dunia na kwamba maofisa mamlaka hiyo wanadai kodi kwa kupiga watu. Waitara ametoa madai hayo leo bungeni Jumatano Mei 15, 2024 kwa kuomba mwongozo wa Spika, akitumia kanuni ya 76, akidai TRA Sirari inadai…