VIDEO: Majibu ya Serikali kuingia Zanzibar kwa pasipoti
Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema hakujawahi kuwa na hati ya kusafiria kutoka Zanzibar kwenda Dar es Salaam wala mkoa wowote bali kilichokuwepo ni hati maalumu. Masauni amesema hayo akijibu hoja ya mbunge wa Konde, Mohamed Said Issa ambaye alitaka utaratibu wa kutumia hati ya kusafiria kwa mtu anayeingia Zanzibar urejeshwe. Akijibu…