Uchumi wa Ujerumani huenda ukaimarika kwa kujikongoja – DW – 15.05.2024
Tathmini kutoka kwa baraza la serikali la washauri wa kiuchumi inaendana na utabiri mwingine wa hivi karibuni ambao ulisema kuwa uchumi wa taifa hilo lenye nguvu kiuchumi katika kanda ya Ulaya unaanza kuimarika taratibu. Pato la mwaka jana lilipungua kidogo kutokana na kuongezeka kwa mfumuko wa bei, kushuka kwa sekta muhimu ya utengenezaji bidhaa na…