HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAHITAJI MADAWATI 7,000 KATIKA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI- DED SELENDA
HALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo, Mkoani Pwani inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa madawati 7,000 katika shule za msingi na sekondari. Kutokana na mahitaji ya madawati hayo inahitajika kiasi cha sh.milioni 350 ili kuondokana na tatizo hilo. Akitoa ufafanuzi huo katika baraza la madiwani, utekelezaji wa kata kwa kata kipindi cha miezi mitatu January hadi…