Hakuna aliye salama Ligi Kuu Bara

LIGI Kuu Bara inakwenda ukingoni huku ikibaki kati ya michezo mitatu hadi minne kwa baadhi ya timu ili kumaliza msimu huu, lakini mbali na bingwa kupatikana ambaye ni Yanga aliyebeba mara tatu mfululizo, kuna vita kubwa ipo katika nafasi ya kushuka daraja. Katika msimamo wa Ligi Kuu Bara kuanzia timu inayoshika nafasi ya tano hadi…

Read More

Gamondi, Nabi kuna ubabe unafikirisha | Mwanaspoti

HAKUNA ubishi juu ya kiwango bora kilichoonyeshwa na Yanga msimu huu na kufanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ambao umechagizwa na wachezaji mbalimbali katika kikosi hicho akiwemo Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, aliyerithi mikoba ya Nasrreddine Nabi aliyetimka baada ya msimu uliopita kumalizika. Gamondi, raia wa Argentina huu ni msimu wake wa kwanza kuifundisha Yanga na…

Read More

Mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe subira yavuta heri

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri ameongoza ujumbe wa Wizara katika kufanya ukaguzi maendeleo ya Mradi wa Maji Same-Mwanga-Korogwe ambao kwasasa upo asilimia 88 za utekelezaji. Mhandisi Mwajuma amefanya ukaguzi katika eneo la chanzo na kujionea jinsi maji yanavyochukuliwa na kusukumwa hadi kwenye chujio la kuchuja maji na maji kusukumwa hadi katika tenki…

Read More

Nape aeleza Serikali inavyoshughulikia uhalifu mitandaoni 

Dodoma. Serikali imesema uhalifu mtandaoni umeendelea kupungua kutokana na hatua zinazochukuliwa kukabiliana nao. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hayo bungeni leo Mei 15, 2024 akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Kavejuru Felix. Mbunge huyo amehoji Serikali ina mikakati gani ya kukomesha wizi wa mtandaoni. Akijibu swali hilo, Nape amesema…

Read More

Gamondi: Nyie subirini, bado moja

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema walistahili kutwaa taji la Ligi Kuu, huku akisisitiza kwamba kituo kinachofuata ni Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC). Yanga wametwaa ubingwa wakiwa na mechi tatu mkononi baada ya kufikisha pointi 71 ambazo washindani wake Azam FC na Simba hata wakishinda mechi zao zote zilizobaki hawawezi kufikia. Akizungumza na Mwanaspoti,…

Read More

DKT. KIDA, NA MKUU WA IDARA YA AFRIKA MASHARIKI YA UHOLANZI WAKUTANA NA KUJADILI SHUGHULI ZA UBORESHAJI WA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

The Hague, Uholanzi. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki wa Uholanzi, Bi. Sanne Lowenhardt pamoja na Mshauri Maalum kuhusu Africa wa Wizara hiyo Bw. Melle Leenstra kuhusu uboreshaji wa Mazingira ya Uwekezaji na Biashara. Katika mazungumzo yao, Dkt. Kida…

Read More

TARI yatoa mafunzo ya kanuni bora za kilimo cha muhogo

Watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) kupitia vituo vya utafiti vya Ukiriguru (Mwanza) na Tumbi (Tabora) kwa kushirikiana na watafiti kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Kilimo ukanda wa Kitropiki (IITA) wametoa mafunzo kwa baadhi ya wakulima wa mkoa wa Tabora juu ya kanuni bora za kilimo cha zao la muhogo….

Read More