UN yachunguza kifo cha mfanyakazi wake Rafah – DW – 15.05.2024
Umoja wa Mataifa amesema kuwa uchunguzi huo umeanzishwa ili kubaini ukweli wa shambulio lililomuuwa mfanyakazi wake Jumatatu wiki hii. Mfanyakazi huyo aliyekuwa afisa mstaafu wa jeshi la India Waibhav Anil Kale, alikuwa mfanyakazi wa idara ya ulinzi na usalama ya Umoja wa mataifa. Alikuwa njiani ndani ya gari kuelekea katika hospitali ya Ulaya ya mjini…