miche 1000 ya matunda ya Parachichi imetolewa bure kwa vijana Kupitia mradi wa BBT Njombe
Kupitia mradi wa BBT unaotarajia kuanza kwa vikundi vya vijana wilayani Njombe,miche 1000 ya matunda ya Parachichi imetolewa bure ili kuanza kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi kupitia zao hilo. Akizungumza na Ayo TV shambani kwake mkulima maarufu wa zao hilo bwana Stiven Mlimbila alipotembelewa na baadhi viongozi wa mradi huo amesema yuko tayari kutoa mchango huo…