Shahidi aeleza jinsi mshtakiwa alivyowasilisha hati feki
Dar es Salaam. Aliyekuwa Msajili wa Ardhi Msaidizi, kutoka Wizara ya Ardhi mkoani Kilimanjaro, Emmanuel Bundala (41) ameileza Mahakama jinsi alivyofanya uchunguzi wa hati ya umiliki wa ardhi na kubaini mmiliki halisi alikuwa ni Stella Mwasha na siyo Rajesh Kumar. Bundala ameeleza hayo leo Jumanne, Mei 14, 2024 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini…